Spiritual Healing
Mara nyingi tatizo hili hutokana na hitilafu ya
mmeng'enyo wa chakula au uchafu tumboni.
Andika mara ishirini na moja (21) kwenye sahani kubwa
ya kauri kwa rangi ya manjano au wino mweusi:
رِيَاحِين
مَاء
Roman:
Riyāḥīn Mā’
Ioshe kwa maji na uchanganye maji hayo katika jagi
mbili za maji baridi.
Maji hayo yamiminwe polepole juu ya sehemu yenye
maumivu.
Fanya hivyo mara tatu ndani ya saa ishirini na nne
(24).