Topics

Kutopata Watoto (Ugumba)

 

Kutopata watoto kunaweza kuwa na sababu nyingi.

Kwa mfano, hitilafu katika mfumo wa uzazi wa mwanamke au ukosefu wa mbegu za uzazi kwa mwanaume.

Ikiwa afya ya mume na mke ni nzuri lakini mimba haipatikani, basi kwa baraka za aya hizi za Qur'an, In shaa Allah mtoto atapatikana.

Soma mara mia moja (100) baada ya Swala ya Isha.



Bismillāhir-Ramānir-Raīm

Iqra’ Bismi Rabbikal-Ladhī Khalaq. Khalaqal-Insāna Min ‘Alaq.

ā Mīm. Alif Lām Rā. Tilka Āyātul-Kitābil-Mubīn.

 

Pulizia ndani ya maji na kwa muda wa siku tisini (90) mwanamke anywe maji hayo na pia amnyweshe mume wake.

Wanawake wahesabu siku za udhuru wao na wazikamilishe baadaye.

Topics