Topics

Huzuni na Msongo wa Moyo

                                                                                

Wakati mwingine kushindwa mara kwa mara humfanya mtu kuvunjika moyo na kukumbwa na huzuni.

Kwa ajili ya kuondoa hali hii, mchoro iliyotolewa katika kitabu iandikwe kwa zafarani na maji ya waridi (rose water), kisha ivaliwe shingoni au ifungwe mkononi. Kwa baraka zake huzuni huondoka.

Kabla ya kuandika hirizi(ta’wiz), soma mara mbili:

بِسْمِ اللّٰهِ اَلْوَاسِعُ جَلَّ جَلَالُهُ يَا بَدِيعَ الْعَجَائِبِ بِالْخَيْرِ يَا بَدِيعُ

Bismillahi Al-Waasi'u Jalla Jalaaluhu Ya Badee'al-Ajaa'ib Bil-Khayri Ya Badee'u

Baada ya kuandika hirizi(ta’wiz), soma tena mara moja na upulizie huku ukifikiria kwamba mwandishi wa hirizi(ta’wiz) na mgonjwa wote wamesimama chini ya Arsh(Kiti cha Enzi cha Allah).


 

Topics