Topics
Andika mchoro iliyotolewa katika kitabu kwenye
karatasi na uitengeneze kuwa hirizi(ta’wiz).
Wanawake waivae shingoni na wanaume waifunge mkononi.
Mbali na hilo, inaweza kuandikwa kwenye karatasi au
sahani, ikaoshwa kwa maji na maji hayo kunywewa asubuhi kabla ya kula chochote.
Ikiwa mwili umevimba kutokana na hitilafu ya ini au
figo, uvimbe huo pia utaondoka kwa matibabu haya.