Topics

Upofu wa Usiku (Night Blindness)

 

Upofu wa usiku ni ugonjwa ambao mtu haoni vitu usiku au gizani, au huviona kwa ukungu.

Katika hali hii soma:                    

يَا عَمَا نَوِيل يَا عَمَا نَوِيل يَا عَمَا نَوِيل

Ya Ama Naweel, Ya Ama Naweel, Ya Ama Naweel

(hii ni mara moja)

Soma jumla ya mara elfu moja na mia moja (1100), kisha pulizia juu ya robo kilo ya Kalonji (Black Seed) iliyosafishwa. Kula kijibana kimoja asubuhi na kijibana kimoja jioni pamoja na maji safi.

Topics