Topics
Andika ta'widh arobaini (40) kwenye karatasi ya nta
kwa kutumia wino wa rangi ya manjano ya chakula.
Kila siku asubuhi kabla ya kula chochote, osha ta'widh
moja kwa maji na uyanywe kwa muda wa siku arobaini (40).
Wakati wa matibabu, jiepushe na pilipili nyekundu na
kila aina ya nyama, ikiwa ni pamoja na mayai.