Topics

Tetekuwanga


Mgonjwa avae ta'wiz iliyotolewa katika kitabu.

Katika hali kali, andika ta'wiz hiyo kwenye sahani, ioshe kwa maji yaliyochemshwa na yaliyopozwa, kisha mpe mgonjwa.

Kila baada ya saa nne:

Watu wazima wapewe kijiko kikubwa kimoja.

Watoto wapewe kijiko kidogo kimoja.


Topics