Topics

Kulipa Deni

 

Mwanzoni na mwishoni soma Sala na Salamu kwa Mtume mara moja, kisha:

mara moja, na:

بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ

يَا فَتَّاحُ
Bismillāhir-Ra
mānir-Raīm

Yā Fattā

mara elfu moja (1000) kabla ya kulala kwa muda wa siku tisini (90), kisha omba dua na ulale bila kuzungumza na mtu yeyote.

Kuachiliwa kwa Mfungwa

Mfungwa avae hirizi ya Taskheer-e-Hukkaam (kuathiri mioyo ya viongozi kwa wema na upole) shingoni.

Kila Alhamisi jioni, hirizi hiyo ifukiziwe moshi wa lubani bila kuitoa kwenye kifuniko chake cha nta au kwenye kifuko chake cha kitambaa.

Topics