Topics

Magonjwa Yote ya Meno

 

Kutikisika kwa meno kabla ya umri wake, Pyorrhea, kuoza kwa fizi, kujikusanya kwa chokaa juu ya meno, meno kuliwa na minyoo, madoa meusi kwenye meno, meno kuwa ya njano kama manjano ya chakula, mfupa wa jino kuvunjika vipande vipande, na matatizo mengine yote ya meno.

Kwa magonjwa haya yote, soma:              

وَالْجُرُوحُ
Wal-Juroohu

mara tisa (9).

Asubuhi kabla ya kula au kunywa chochote, pulizia ndani ya glasi moja ya maji.

Tenga funda moja la maji hayo.

Kwa maji yaliyobaki, suuza mdomo vizuri.

Baada ya kusuuza, kunywa lile funda moja la maji ulilotenga.

Kwa muda wa nusu saa baada ya hapo, usile wala usinywe chochote.

Topics