Topics

Kupungua kwa Kusikia Kutokana na Uzee

 

Baada ya Swalah ya Isha soma mara arobaini na moja (41):

فَسَوّٰهُنَّ سَبْعَ سَمٰوَاتٍ وَالْأَرْضِ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ
Fa Sawwaahunna Sab'a Samaawaatin Wal-Ardh, Thumma Istawaa 'Alal-'Arsh

Kisha pulizia mikononi na upake uso mara tatu.               

Ni lazima tendo hii ikamilishwe kwa siku arobaini na moja (41).

Topics