Topics

Kitovu Kuhama

                                          

Tengeneza umbo la kufuli mbili zilizounganishwa kama ilivyoonyeshwa kwenye mchoro ya kitabu.



Liandike kwenye karatasi, likunje kuwa ta'wiz, lifunike kwa nta na ulifunge tumboni kiasi kwamba ta'wiz iwe juu ya kitovu.

Usilitoe wakati wa kuoga.

Baada ya kupona, fanya Isaal-e-Thawaab(Kumfikishia thawabu marehemu) kwa ruh ya Muhyiddin Abdul Qadir Jilani(R.A).

Topics