Topics
Wanawake wanaotaka kuwanyonyesha watoto wao lakini maziwa yao hayatoshi, waandike mchoro iliyotolewa katika kitabu kwenye sahani za kauri kwa rangi ya manjano
Osha sahani moja asubuhi, moja mchana na moja jioni
kwa maji na uyanywe.
Maziwa yakianza kutoka kwa kiasi cha kutosha, Matendo
ya Kiroho hii iachwe.