Topics
Changanya rangi
ya manjano ndani ya maji na utengeneze wino. Andika mchoro iliyotolewa katika
kitabu juu ya sahani.
Mpe mtu mzima
kijiko kimoja kikubwa kila baada ya saa nne, na mtoto kijiko kimoja kidogo.
Rudia kwa siku tatu. Katika siku hizi tatu, dawa nyingine na chakula
havitumiwi.