Spiritual Healing

Homa ya Manjano (Jaundice)

 

Ugonjwa huu hutokana na matatizo ya ini.

Andika ta'wiz iliyotolewa katika kitabu na umvishe mgonjwa shingoni.



Pia tumia mizizi ya mmea wa Basakhpara. Osha mizizi hiyo, ikate vipande vya ukubwa wa ncha ya kidole.

Chukua uzi mbichi wa pamba wenye urefu wa kimo cha mgonjwa mara ishirini na moja (21) au thelathini na moja (31), ukunje mara nne.

Funga kipande kimoja cha mzizi katika fundo na usome mara moja wadhifa(dua maalumu) uliotolewa katika kitabu, kisha pulizia na ufunge fundo.

Iyyāka Na‘budu Wa Iyyāka Nasta‘īn

Fanya hivyo hadi upate mafundo ishirini na moja (21), kisha mvishe mgonjwa shingoni.

Kadiri ugonjwa unavyopungua, uzi huo utaonekana kurefuka.

Baada ya kupona, uondoe na uutumbukize kwenye maji yanayotiririka.

Topics