Spiritual Healing
Tengeneza umbo la kufuli mbili zilizounganishwa kama ilivyoonyeshwa kwenye mchoro ya kitabu.
Liandike kwenye karatasi, likunje kuwa ta'wiz,
lifunike kwa nta na ulifunge tumboni kiasi kwamba ta'wiz iwe juu ya kitovu.
Usilitoe wakati wa kuoga.
Baada ya kupona, fanya Isaal-e-Thawaab(Kumfikishia
thawabu marehemu) kwa ruh ya Muhyiddin Abdul Qadir Jilani(R.A).