Spiritual Healing
Ikiwa urefu wa mtu ni mfupi na anataka kuongezeka, andika mchoro iliyotolewa katika kitabu kwenye sahani tatu kwa kutumia rangi ya manjano ya chakula na maji ya waridi.
Osha sahani moja asubuhi kabla ya kula chochote,
sahani ya pili baada ya Swala ya Alasiri na sahani ya tatu kabla ya kulala
usiku.
Maji hayo yanywe kwa muda wa miezi sita (6) mfululizo.
Zaidi ya hayo, mtu afuate mpango wa kulala chini au
kujilaza kwa angalau saa kumi na mbili (12) ndani ya kila saa ishirini na nne
(24).
Wakati wa kulala, miguu iwe imenyooka kabisa, isiwe
imepinda kama upinde.
Mto uwe juu kidogo ili mzunguko wa damu uelekee zaidi
upande wa miguu.