Spiritual Healing

Kupata Ajira au Mafanikio Katika Biashara

 

Wakati jitihada zote za kupata kazi au mafanikio ya biashara hazizai matunda, vaa ta'wiz iliyotolewa katika kitabu kwenye mkono au shingoni.

Wakati wote, ukiwa na udhu au bila udhu, ukiwa umesimama, umekaa, unatembea au umelala, endelea kufanya kumsifu Allah kwa maneno haya ya:

يَا حَيُّ يَا قَيُّومُ

ayyu Yā Qayyūmu



Topics