Spiritual Healing
Baada ya Swalah ya Isha soma mara arobaini na moja
(41):
فَسَوّٰهُنَّ سَبْعَ سَمٰوَاتٍ وَالْأَرْضِ ثُمَّ
اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ
Fa Sawwaahunna Sab'a Samaawaatin Wal-Ardh, Thumma Istawaa 'Alal-'Arsh
Kisha pulizia mikononi na upake uso mara tatu.
Ni lazima tendo hii ikamilishwe kwa siku arobaini na
moja (41).