Spiritual Healing
Ugonjwa huu huchukuliwa kuwa dalili ya jinamizi
(kaabos).
Andika ta'wiz kumi (10) za mchoro iliyotolewa katika
kitabu.
Ta'wiz moja ifunikwe kwa nta na ivaliwe shingoni.
Ta'wiz tisa (9) zilizobaki zioshwe moja baada ya
nyingine kwa maji kila asubuhi kabla ya kula chochote, kisha mgonjwa anywe maji
hayo.
Ta'wiz za kunywa ziandikwe kwa rangi ya manjano ya chakula kwenye karatasi au kwenye sahani. Njia zote mbili zina manufaa.