Spiritual Healing
Kwa ajili ya kuondoa uvivu, kutokuwa na uthabiti wa tabia na kutopenda shughuli za kiuchumi, baada ya kila Swala soma Bismillah pamoja na wadhifa(dua maalumu) iliyotolewa katika kitabu mara mia moja (100), kisha omba dua.
Ikiwa mwenye tatizo ni mvivu sana, basi mke wake au
ndugu wa karibu anaweza kusoma wadhifa (dua maalumu) hiyo na kumuombea.
Muda wa Matendo ya Kiroho hii ni siku ishirini na moja
(21) na kiwango cha juu ni siku arobaini (40).