Spiritual Healing

Ta'wiz ya Kujikinga na Athari za Pepo Wabaya

 

Ta'wiz iliyotolewa katika kitabu iandikwe kwenye karatasi ya nta, ifunikwe kwa nta na ivalishwe mgonjwa shingoni.



Kila Alhamisi baada ya Alasiri na kabla ya kuzama kwa jua, ifukizwe kwa uvumba wa lubani bila kuitoa ndani ya kifuniko chake cha kitambaa.

Topics