Spiritual Healing
Soma mara elfu kumi na moja (11,000), pamoja na Sala
na Salamu kwa Mtume kabla na baada:
فَأَوْحَىٰ إِلَىٰ عَبْدِهِ مَا أَوْحَىٰ مَا كَذَبَ الْفُؤَادُ مَا رَأَىٰ
Fa awḥā ilā ʿabdihī mā awḥā. Mā kaḏaba al-fu'ādu mā ra'āFa awḥā ilā ʿabdihī mā awḥā. Mā kaḏaba al-fu'ādu mā ra'ā
Kisha pulizia ndani ya nusu nusu kilo ya asali safi.
Mpe mtoto asali hiyo asubuhi, mchana na usiku.
Watoto wadogo walambishwe kwa kidole, na waliozidi
miaka kumi wapewe kijiko kidogo cha chai mara tatu kwa siku.
Muda wa matibabu ni miezi sita (6).