Spiritual Healing
Andika kwenye sahani:
اَرْحٰمْ رَفِیْكُ یَا رَاحِیْلٌ مَعْنِیٌ
Arḥam rafīqu yā Rāḥīlun maʿniyyun
Ioshe kwa maji na umnyweshe mgonjwa.
Pia andika maneno hayo kwenye karatasi kubwa na ipake
mwilini kote mara tatu mchana na usiku.
Matibabu haya yaendelee kwa muda mrefu.
Kwa muda wa miezi sita (6), mgonjwa asitumie chumvi
kabisa.
Pia ajiepushe na nyama, mayai, figili na pilipili
nyekundu.