Spiritual Healing
Ni muhimu nyumba iwe safi, isiyo na unyevunyevu na
ifukizwe ubani mara kwa mara.
Iwapo sababu ya ugonjwa wa mara kwa mara haijulikani,
andika ta'wiz iliyotolewa katika kitabu na uitundike mahali ambapo upepo
unaweza kuifanya itikisike.